Donda langu lilopona Limekuruzwa tena Kuta mimi nilojenga Limebomoka tena aaah Hata shimo niloziba limefunguka tena Yaani shida zangu zilokwenda Zimerudi tena yaani Mieeee mieee Ajoo Kosa gani nilotenda nimetekwa na penzi Mieeee mieeee Ajoo Kosa gani nilotenda nimetekwa na penzi Ety wa kwanza nilimfua-ta Na nikampa-ta Kisha baadaye akasepa na akaniacha Wengine nikawafuata na nikawapata Kisha baadaye wakasepa na wakaniacha Ooh no no no no noooo nimekataaa Ooh noo nimekataa wengine mi sitawafuataa Nimekataa nimekataa wengine mi sitawafuataaa Mvumilivu hula mbivu Msemo ya wahenga Yote hayo niliyafanya sikujua utanilenga aaah Penzi yetu niliyatunza Ukaamua kuyatenga Yaani majirani wanicheka wamefurahi nimetendwa yaani Mieeee mieee Ajoo Kosa gani nilotenda nimetekwa na penzi Mieeee mieeee Ajoo Kosa gani nilotenda nimetekwa na penzi Wa kwanza nilimfua-ta Na nikampa-ta Kisha baadaye akasepa na akaniacha Wengine nikawafuata na nikawapata Kisha baadaye wakasepa na wakaniacha Ooh no no no no noooo nimekataaa Ooh noo nimekataa wengine mi sitawafuataa Nimekataa nimekataa wengine mi sitawafuataaa