Mungu kanipa chaguo langu Mola kanipa kweli nilichotaka ooh Penzi kwa kweli Nilikusaka Na hatimaye mpenzi nimekupata aaah Nipe penzilo Ninalotaka Na utamu wa asali nilichotaka ooh Na wenye wivu acha waseme Ila mi na we mpenzi tunapendanaa ooh ooh Kweli we ndo chaguo oooh chaguo la moyo Baby ama kweli ulishushwa Tokea mbinguni kwangu mimi hhee Baby katika katika waone Penzi tingisha Ulichopewa aaah Baby niongeze niongeze waone Penzi niongeze utamu wa asali Na we ni chaguo chaguo la moyo We ni chaguo kweli chaguo langu Kweli we ndo chaguo oooh chaguo la moyo Baby ama kweli ulishushwa Tokea mbinguni kwangu mimi hhee Basi waoneshe Alichokupanga mama mzazi wakosee neno naa Na maadui wasiotupenda Wakaudhike kila watuonapo Na we ni chaguo chaguo la moyo We ni chaguo kweli chaguo langu Oooh Kweli we ndo chaguo oooh chaguo la moyo Baby ama kweli ulishushwa Tokea mbinguni kwangu mimi hhee