Maisha yangu mi, nmeshafanya vingi na.kukutana na wengi Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi Uzuri sio sura ma. pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na Imani ...
World Songs/Music Lyrics