Advertisement Area
Wordpress backlinks generator
Free public records and people finder tool
Free People Finder Tool
Creative shipping and logistics solution in Egypt
Wordpress backlinks generatorAmireta | All that relate to the woman, The health, And the beautyأميريتا - كل ما يخص المرأة و الصحة و الجمالVisit Visit Visit

Geuza Kitu Ex – Aliye

Mmmhh
Aliye, Aliye, Aliye, Aliye!

Akilenga message zako, we niite
Akikosa kujibu simu, we niite
Ukiona ameanza maringo, we niite Baby
I'm here for you!

Akizima simu usiku, we niite
Akienda out bila wewe, we niite
Akianza kulewa sana, we niite Baby
I'm here for you!

Maneno yake yakianza kubadilika
Simu yake kila wakati akificha
Ashageuka mwizi wa kumulikwa Baby
I'm here for you!

Ikiwa hana rinda na anaringa
Usibembeleze
Wachana na hiyo jinga
Geuza kitu ex

Ikiwa hana rinda na anaringa
Usibembeleze
Wachana na hiyo jinga
Geuza kitu ex

Usiogope, I got you!

Ukichoka kufuga nyoka, we niite
Ukitaka kumtoroka, we niite
Usingoje machozi kutoka we niite Baby
I'm here for you

Nimehitimu kuendesha basi we niite
Nimeumbwa kama farasi we niite
Usirudishe makamasi we niite Baby
I'm here for you

Na ukikuja usishinde ukibisha
Moyo wangu kwako wazi kama dirisha
Usiwe na wasiwasi we ingia ni nyumbani Baby
I'm here for you

Ikiwa hana rinda na anaringa
Usibembeleze
Wachana na hiyo jinga
Geuza kitu ex

Ikiwa hana rinda na anaringa
Usibembeleze
Wachana na hiyo jinga
Geuza kitu ex

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Advertisement Area
Wordpress backlinks generator
Free public records and people finder tool
Free People Finder Tool
Creative shipping and logistics solution in Egypt
Wordpress backlinks generatorAmireta | All that relate to the woman, The health, And the beautyأميريتا - كل ما يخص المرأة و الصحة و الجمالVisit Visit Visit