Naona pombe Kila corner zimejaanga Naona Kila mtu tu anajibamba Na dj kucheza ngoma safi sana Ni macider mawhisky hapa savannah Tumekuja kujitibu bila dawa Shika Dem shika Chali wacha blunder Sahau shida mahali ulikotoka wacha bana Ni weekend imefika kuchoma nyama Naona party zimeshika huku Naona party zimeshika huku Watu wengi wanasema eya eya Watu wengi wanasema eya eya Nyumirwa mziki nyumirwa kuchakala Njagala bulamu njagala kudigidia Ile designer ya mizuka kupandishanga Na vile banger inagonga inatishangaa Naona party zimeshika huku Naona party zimeshika huku Watu wengi wanasema eya eya Watu wengi wanasema eya eya Eee wacha katambe Kaende wacha katambe Kila mtu sasa twende wacha katambe Wolan nasema eee wacha katambe Kaende wacha katambe Kila mtu sasa twende wacha katambe heyee Naona party zimeshika huku Naona party zimeshika huku Watu wengi wanasema eya eya Watu wengi wanasema eya eya